Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAJUMBE WA KAMATI YA MRADI WA UBORESHAJI WA KATA YA MAKONGO JUU WAKUTANA NA WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM

2Waziri Tibaijuka (katikati), akiwa na wajumbe wa kamati ya wananchi ya utekelezaji wa mradi wa uboreshaji wa makazi Makongo Juu katika Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo ilimtembelea waziri huyo ofisini kwake kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo ya Kata ya Makongo.

4 Hapa Waziri Tibaijuka akiwaonesha wajumbe hao ramani ya Makazi ya Makongo Juu.3Waziri Tibaijuka (Wa tatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo. Wa pili kushoto ni Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira na Watatu kulia ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Makongo Juu, Protas Tesha5Waziri Tibaijuka akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe hao. (Imeandaliwa na www.habari za jamii.com)

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top