Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL LIMITED KATIKA MAONYESHO YA (TANTRADE) SABASABA



1wWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Miengo Pinda akiwasili kwenye banda la Kampuni ya Property Itnernational Limited ya jijini Dar es salaam wakati alipotembelea banda hilo Katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa (TANTRADE) kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam, Ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo inayojihusisha na miradi mikubwa ya upimaji na uuzaji wa viwanja vilivyopimwa kitaalamu maeneo mbalimbali nchini. kulia aliyeongozana naye ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Abdallah Kigoda.
2wWaziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akimsikiliza Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Property International Limited Bw. A. Haleem wakati akitoa maelezo kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa na kampuni hiyo nchini wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonyesho ya 38 ya TANTRADE katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar essalaam. 3wKutoka kulia ni Wakuu wa kampuni hiyo Mkurugenzi Mohamed Mahfoudh, Abdu Thabit , Hashim Thabit na Masoud Saeed Alawi wakimsubiri Mh. 5wWaziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana na wakuu wa kampuni hiyo mara baada ya kutembelea banda lao kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa TANTRADE kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa leo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top