Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Mkuu wa Mkoa wa kigoma Mhe. Issa Machibya kwenye
uwanja wa ndege wa Kigoma baada ya kukamilisha ziara ya siku moja Mkoani
humo leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Viongozi wa Dini na Viongozi wa Mkoa wa Kigoma
wakati alipofanya ziara ya siku moja Mkoani humo leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na wananchi na Viongozi wa Mkoa wa kigoma kwenye uwanja
wa ndege wa Kigoma baada ya kukamilisha ziara ya siku moja Mkoani humo
leo.(Picha na OMR)
Post a Comment