Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi.
Raia wakipanga kumchoma moto kibaka huyo.
Kibaka aliyetoroka kituo cha polisi
Tabata hatimaye kukukamatwa majira ya saa tano asubuhi maeneo ya
msimbazi vingunguti na kurudishwa kituoni.
on Tuesday, August 19, 2014
Post a Comment