- Tunafahamu kwamba Luis Suarez alijiunga na Barcelona mwaka huu wa 2014 akitokea Liverpool aliyoichezea toka mwaka 2011-2014 na kuifungia magoli 69 kwenye mechi 110 alizocheza.Sasa ishu imekuja kwenye ada ya uhamisho kwenda Barca ambapo club hiyo imeweka wazi jana kwamba ilimchukua kwa pounds milioni 65 kutoka Liverpool.Kuna mchanganyiko umetokea baada ya hiyo bei kutajwa kwa sababu Liverpool walisema bei waliyomuuza mng’ataji huyu ni Pound milioni 75.
Burhan awekewa vikwazo na Marekani
5 hours ago
Post a Comment