![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjy-S57eLhDT51XuS1urlKAywrQeVlmMLhWhMp6xDEQlK2tVxn4VEIMAfc-GVbb-SoO0bCY-_2-DJrBkAO-1UwZYALKGgCvoKq8z3SmJ3Hyl9FowAcqz1cnQSeW5U4eHWffL6ezGqwJkOal/s320/batuli.jpg)
Mrembo huyo akizungumza na mwandishi hivi karibuni aliweka wazi ishu hiyo kwa madai kwamba anahitaji kutimiza ndoto yake juu ya suala hilo kwani ni wazo lake la muda mrefu ingawa hakuwahi kumwambia mtu yeyote....
"Napenda sana kazi hiyo ikibidi hata urubani kabisa pia naona naweza kufanya.Tatizo ni gharama, naamini endapo ntapata mtu wa kunidhamini naweza kwenda kusomea ili nitimize ndoto zangu za muda mrefu,"alisema
Post a Comment