Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Jaji Lewis Makame amefariki Dunia




Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi-(NEC), Jaji Lewis Makame amefariki baada ya kuugua maradhi ya moyo kwa muda mrefu.


Jaji Makame alikuwa amelazwa katika hospitali ya AMI iyopo Mikocheni, Dar es Salaam tangu July mwaka huu hadi mauti ilipomfika leo Alfajiri.

July, 28 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alikwenda kumjulia hali msaafu huyo wa NEC katika hospitali ya AMI.


Jaji Makame alistaafu katika NEC tangu July, 2011. Mungu aialeze mali pema peponi, roho ya marehemu Jaji Makame. Amina.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top