Msanii Johari Blandina 'Chagula' ambaye ni star mkongwe Swahiliwood amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuutunza muonekanio wake na kuwa kama kijana licha ya umri wake kuwa mkubwa tofauti na baadhi ya waigizaji wenzake wa kike ambao hujiachia na kuonekana wazee licha ya umri wao kuwa mdogo.
"Wasanii
wa kike wengi ni watoto wadogo lakini kwa sababu ya kujiachia
wanaonekana kama watu wazima lakini ukweli ni watoto wadogo sana,
namshukru Mungu nimeanza sanaa kitambo lakini mwili wangu upo fiti,”
Johari
alimtolea mfano Irene Uwoya ambaye ni shoga'ke wa karibu kuwa
anaonekana mkubwa kwasasa sababu ya kujiachia licha ya kwamba amempita
miaka kadhaa.
Vile
vile Johari amesema kuwa kawasasa amerudi kwa moto wa kasi kama
muigizaji kama awali baada ya kuwa upande wa producer kuwapa nafasi
chipukizi ambao wengi amesema wameshindwa, hivyo amerudi mwenyewe kwenye
game.
Post a Comment