Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipatiwa
maelezo na Imam wa Msikiti wa Mtambani,Sheikh Suleiman (mwenye kanzu
nyeupe) ya namna moto ulivyoteketeza sehemu ya jengo la shule ya
Seminari ya Kiislam ya Mivumoni katika Msikiti wa Mtambani Kinondoni
jijini Dar es salaam,wakati alipotembele kuijionea hali hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoka
kuangalia uharibifu uliotokea kwa kusababishwa na moto uliotokea hivi
katibuni na kuteketeza sehemu ya majengo ya shule ya Seminari ya Kiislam
ya Mivumoni katika Msikiti wa Mtambani Kinondoni jijini Dar es salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiangalia
uharibifu uliotokea kwa kusababishwa na moto na kuteketeza sehemu ya
majengo ya shule ya Seminari ya Kiislam ya Mivumoni katika Msikiti wa
Mtambani Kinondoni jijini Dar es salaam.Kulia ni Imam wa Msikiti huo
Sheikh Suleiman akimuongoza Mh. Lowassa.
Post a Comment