Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua maktaba ya shule ya mingi
ya Jitegemee iliyopo kata ya Magomeni mjini Bagamoyo wakati wa ziara
yake ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ikiwa ni
utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, Kinana yupo
katika ziara ya mikoa ya Pwani, Tanga na Iringa akiongozana na Katibu wa
NEC Siasa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-BAGAMOYO) Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Bagamoyo Dr. Shukuru Kawambwa
akielekeza jambo wakati
wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Magomeni mjini
Bagamoyo, Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mh. Ahmde Kipozi.
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mh. Mwantumu Mahiza akizungumza jambo na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Mwinshehe Mlao.Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Mwinshehe Mlao akizungumza na wananchi
katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi
Jitegemee kata ya Magomeni mjini Bagamoyo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza
na wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja
vya shule ya msingi Jitegemee kata ya Magomeni BagamoyoBaadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo.Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Bagamoyo Dr. Shukuru Kawambwaakiwahutubia wapiga kura wake hawapo pichani.Baadhi ya wanachama wapya wa CCM wakila kiapo mara baada ya kupokea kadi zao za uanachama wa CCM leo mjini Bagamoyo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja
na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Pwani wakila kiapo cha utii kwa chama
cha Mapinduzi kutoka kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Joyce
Masunga,Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Mwinshehe Mlao na kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mh. Ahmde Kipozi.Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Bagamoyo Dr. Shukuru KawambwaKatibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akitema cheche katika mkkutano huo.Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA10 hours ago
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA10 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment