Beki wa Malaga, Weligton akimkwida mashavuni nyota wa Barcelona, Lionel Messi kabla ya kumsukuma chini, hadi akapewa kadi ya njano na refa Alejandro Hernandez, timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana katika mchezo wa La Liga usiku wa kuamkia leo.
Lionel Messi akianguka baada ya kumsukuma chini na beki wa Malaga, Weligton.
Lionel Messi akiwa chini baada ya kusukumwa.
Find more videos like this on Global Publishers
PICHA NA MTANDAO
Post a Comment