Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ANGALIA VIDEO ALICHOKIFANYA DIEGO COSTA WA CHELSEA JANA ... PIA KAULI YA JOSEE MOURNIHO IPO HAPA


Diego Costa is on fire kwa mara nyingine tena mshambuliaji wa kihispaniola Diego Costa aliendeleza makali yake ya kuzifumania nyavu jana baada ya kufunga hat trick kwenye mchezo dhidi ya Swansea, ambapo Chelsea walishinda 4-2.
Unaweza kuangalia magoli ya Diego Costa na Loic Remy hapa chini. 

KAULI YA JOSE MOURINHO BAADA YA DIEGO COSTA KUWASHA MOTO MKALI

Diego Costa has hit the ground running with seven goals in his first four Premier League gamesĀ 
Diego Costa ametisha sana tangu alipojiunga na Chelsea
JOSE Mourinho anaamini Diego Costa sio mchezaji wa kawaida baada ya kupiga mabao matatu katika mechi ya jana ya ligi kuu dhidi ya Swansea.
Mabao hayo sasa yamemfanya Costa afikishe magoli saba katika mechi nne tangu aliposajiliwa kwa paundi milioni 32 kutoka Atletico Madrid majira ya kiangazi mwaka huu.
And manager Jose Mourinho is incredibly pleased with the impact of his signing since he joined
Kocha wa Jose Mourinho amefurahishwa sana na kiwango cha Costa.

"Kama timu inacheza vizuri lazima afunge magoli. Saba katika mechi nne, labda amezidisha," alisema kocha huyo baada ya kushinda mabao 4-2."Ni kitu kisichokuwa cha kawaida. Hatuwezi kutarajia kuwa baada ya mechi nane atakuwa na magoli 14."
"Ametulia kwenye timu. Timu ilijengwa kwa staili ya kusubiri mshambuliaji kama yeye na nadhani kila mtu anajua kuwa Chelsea haikufanya makosa kwa kutokwenda sokoni katika dirisha dogo la usajili, januari 2013"
NA MPENJA BLOG
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top