Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara
mjini Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo alisema kua CCM itaanza
kuwafukuza viongozi wabovu na wala rushwa. Kinana yupo mkoani Pwani
kuimarisha uhai wa chama, kuhimiza, na kusukuma utekelezaji wa Ilani ya
Uchaguzi ya CCM.
Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia kaaikia wananchi
kuhusu tika mkutano wa hadhara Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo
aliwananga wapinzania kwamba wanahangaika na maandamano wakati CCM
wanawahangaikia mandeleo ya wananchi.
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani, Mwinshehe Mlao
wakiondoka baada ya kufungua jengo la CCM Wilaya Kibaha Vijijini
Kinana
akisaidia kupaka rangi alipokagua jengo la Baraza la Ardhi la Kata ya
Mlandizi iliyojengwa kwa msaada wa Diwani wa Kata hiyo, Euphresia Kadala
(kushoto)
Kinana akihutubia baada ya kufungua jengo la Baraza la Ardhi la Kata ya Mlandizi
Kinana akipanda mti wa kumbukumbu alipotembelea Kituo cha Afya cha Mlandizi
Kinana akizungumza baada ya kushiriki ujenzi wa jengo la kuhifadhia maiti katika Kituo cha Afya cha Mlandizi
Kinana akipandisha bendera wakati wa uzinduzi wa shina la wakereketwa wa Kikundi cha Mshikamano Mlandizi Mjini
Nape akimbusu mtoto Ashrafu Waziri wa mkazi wa Mlandizi wakati wa ziara kuimarisha uhai wa chama Kibaha Vijijini
Wafuasi
wa CCM, wakisikiliza kwa makini wakati Kinana akihutubia wakati wa
uzinduzi wa shina la vijana la mshikamano Kibaha Vijijini. Kutoka kulia
ni Flaviana Juma, Moureen Willfred na Fadhila Jumanne
Kinana akikagua mradi wa maji katika Kijiji cha Bokomnemela Kibaha Vijijini
Kinana
akiagana na Mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Dk.
Hashim Mohamed baada ya kukagua mradi wa maji katika Kijiji cha
Bokomnemela.
Katibu wa CCM Mkoa wa Pwani, Joyce Masunga akihutubia katika mkutano huo
Mbunge
wa Jimbo la Kibaha Vijijini, Hamoud Jumaa akielezea kuhusu miradi
mbalimbali iliyotekelezwa katika jimbo hilo kwa kufuata Ilani ya
Uchaguzi ya CCM.
Mkazi wa Mlandizi akiuliza swali katika mahakama ya wazi ya Kinana katika kutano huo
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akijibu swali la mwananchi
aliyelalamikia kitendo cha waalimu kuwafukuza wanafunzi waliokosa kutoa
michango shuleni ambapo Kinana alikemea vitendo hivyo.
Baadhi ya wanachama wa Chadema wakionesha kadi baada ya kujiunga na CCM katika mizikutano uliofanyika Kibaha Mlandizi
Wanachama wapya wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi za chama hicho
on Monday, September 22, 2014
Post a Comment