Mwenyekiti
wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge
akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta Rasimu ya Katiba
Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hiloleo.
Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa
kusomwa Bungeni Leo
Loading...
Post a Comment