wakazi wa
kata ya mwangata manispaa ya iringa wajikusanya kushuhudia ajali ya
pikipiki na pikipiki kugongana uso kwa uso eneo la stendi ya kidamali
mwangata iliyotokea jioni hii. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Dereva
bodaboda akiwa hajitambui baada ya kugongana na mwenzake baada ya
kugongana uso kwa uso eneo la stendi ya kidamali mwangata iliyotokea
jioni hii. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Dereva
bodaboda akibebwa na wasamaria wema kupelekwa hospitali baada ya
kugongana na mwenzake na kusaidiwa na wananchi wa kata ya mwangata
manispaa ya iringa waliojikusanya kushuhudia ajali ya pikipiki na
kugongana uso kwa uso eneo la stendi ya kidamali mwangata iliyotokea
jioni hii. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Post a Comment