Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Enyi Wanawake Mnaokuwa Kama Magogo 6 Kwa 6 Kwanini Mkiibiwa Mnalia lia?

Unakuta mwanamke yaani amekaa tu kamavile mgomba katulia tuliiii.
Hana hata hamasa kwa mwenzi wake. Akiibiwa na wajanja ana lalamika weee.
Watu mitaani watachonga mbona jamaa yupo na mwanamke mzuri tu mbona zipu yake anafungua fungua? kumbe bana siri ya ndani anajua yeye.
Na ukute huyo sasa mwanamke anajua kuchonga na ana mdomo kama kasuku. Utapakimbia home na kupanga kwenye hotel.
Kwanini msijifunze? Hasa hasa wale wanaotoka kwenye maajabu ya africa kwenye baridi kali yaani wanaboa kweli.
Vitu vidogo tu vya kujifunza unashidwa? Unamwambia fanya basi hivi mkali kweli. aaah ina kera kweli.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top