Tarehe
25.09.2014 Filamu kali na yenye kusisimua "MIKONO SALAMA" Itaingia
kwenye Soko la Filamu za kitanzania na kuanza kuuzwa.Sio Filamu ya
kukosa kabisa kwani Humo ndani kuna waigizaji mashuhuri na Magwiji ambao
wameshirikia na Mastar kutoka pande zingine.Jokate Mwegelo maarufu kama
Kidoti ameshiriki ndani ya Filamu hii akiwa na
Gwiji Jacob Steven(JB),pia kuna kipande ambacho amecheza Marehemu Adamu
Kuambiana humu ndani,pia Kuna wasanii wengine kama Irene Uwoya na Single
Ntambalike.Kaa Tayari kuona Filamu nzuri na yakitanzania.
Post a Comment