MKALI wa
kibao cha Msambinungwa, Khalid Ramadhani ‘Tunda Man’, amesema hana
mpango wa kutoka kimapenzi na msanii wa filamu za maigizo, mwanadada
Wema Sepetu kwa kuwa hawaendani kabisa.
Tunda Mana katika pozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D' wakati wa mahojiano hayo.
Akuzungumza
na Global TV kupitia kipindi cha Mtu Kati, Tunda alisema kuwa hafikirii
hata mara moja kama atakuja kutoka kimapenzi na staa huyo kwa kuwa
watakuwa wanapishana kwenye baadhi ya mambo.
Tunda Man ndani ya studio za Global TV Online.
“Wema ni
rafiki yangu kama walivyo marafiki wengine lakini kitu kikubwa sitamani
kabisa aje kuwa mpenzi wangu kwa sababu tutakuwa tunapishana katika
baadhi ya mambo na hizi ngumi ninazocheza nahisi nitampiga mpaka
nitauwa,” alisema Tunda Man.
Kuyapata mahojiano zaidi aliyofanya Tunda Man tembelea mtandao wawww.globaltvtz.com hapo utakutana na kipindi cha Mku Kati na Exclussive Interview.
Post a Comment