Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

IRENE UWOYA AMKANA MSAMI LIVE KWEUPEEEE



Uwoya amesema alisafiri hadi Afrika Kusini ili kutafuta location tofauti zitakazoifanya filamu hiyo kuvutia.

“Filamu ya Kigoda ni filamu ya aina yake katika filamu ambazo nimewahi kuzifanya,” alisema. “Filamu inahusu drama and music, imeshagharimu pesa nyingi sana. Ndani utaona watu wakicheza muziki na maisha ya wasanii. Kwahiyo itakuwa tayari hivi karibuni na tutatangaza ikiwa tayar kwenda sokon.” 

Katika hatua nyingine, Uwoya amekanusha uvumi kuwa ana uhusiano na msanii wa Soundtrack, Msami ambaye anadai ameshiriki kwenye filamu hiyo.


“Msami sijawai kuwa na mahusiano naye, alikuwa kama msanii mwenzangu. Hata ule ukaribu wake na mimi ambao ulizua tetesi za kuwa na mahusiano naye ni kutokana na hii filamu. Kwa hiyo watu wajue ilikuwa ni kazi tu.”
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top