Mwenyekiti wa
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Abubakar Rajabu (aliesimama) akizungumza wakati wa kuwakaribisha Wabunge
wa Kamati ya Huduma za Jamii,waliofanya ziara ya kutembelea na
kuangalia maendeleo ya miradi mitatu inayofadhiliwa na NSSF ambayo
ni Mradi wa Daraja la Kigamboni,Mradi wa nyumba wa Mtoni Kijichi na
Mradi ujenzi wa kijiji cha kisasa kiitwayo 'Dege Eco Village',iliopo
Kigamboni jijini Dar es Salaam.Katika ziara hiyo ya Wabunge chini ya
Mwenyekiti wao,Mh. Said Mtanda (katikati) walivutiwa sana na maendeoe ya
miradi hiyo na hivyo kulipongeza Shirika la NSSF kwa kazi nzuri
wanayoendelea kufanya.Picha zote na Othman Michuzi.
Waziri wa Kazi na
Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka (aliesimama) akifafanya jambo mbele ya
Wabunge wa Kamati ya Huduma za Jamii waliofanya ziara ya kutembelea na
kuangalia maendeleo ya miradi mitatu inayofadhiliwa na NSSF ambayo ni
Mradi wa Daraja la Kigamboni,Mradi wa nyumba wa Mtoni Kijichi na
Mradi ujenzi wa kijiji cha kisasa kiitwayo 'Dege Eco Village',iliopo
Kigamboni jijini Dar es Salaam
Mbunge jimbo la
Lindi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii,Mh.
Salum Barhan akifatilia kwa makini taarifa ya Mradi wa Daraja la
Kigamboni iliyokuwa ikitolewa na Meneja Miradi wa Shirika la Taifa wa
Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi John Msemo (hayupo pichani)
Meneja Miradi wa
Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi John Msemo
akielekeza jambo wakati akitoa taarifa ya Mradi wa Daraja la Kigamboni
mbele ya Wabunge wa Kamati ya Huduma za Jamii waliofanya ziara ya
kutembelea na kuangalia maendeleo ya miradi mitatu inayofadhiliwa na
NSSF ambayo ni Mradi wa Daraja la Kigamboni,Mradi wa nyumba wa Mtoni
Kijichi na Mradi ujenzi wa kijiji cha kisasa kiitwayo 'Dege Eco
Village',iliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati
ya Bunge ya Huduma za Jamii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Manyovu
Mkoani Kigoma,Mh. Albert Obama akiuliza swali kwa Meneja Miradi wa
Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi John Msemo
kuhusiana na mradi huo wa Daraja la Kigamboni.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii wakisikiliza kwa makini taarifa ya Mradi wa Daraja la Kigamboni.
Meneja wa Mradi
wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni kutoka Shirika la Taifa wa Hifadhi ya
Jamii (NSSF),Mhandisi Karim Mattaka (katikati) akiwaeleza Wabunge wa
Kamati ya Huduma za Jamii namna wanavyopanga nondo ili kuweka uhimara wa
daraja la Kigamboni ambalo linatarajiwa kumalizika mapema mwakani.
Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii,Mh. Said Mtanda (wa tatu kushoto)
akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa wa Hifadhi ya
Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau (wa nne kushoto) wakati wajumbe wa kamati
hiyo wakitembelea Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es
salaam.
Wajumbe wa Kamati
ya Bunge ya Huduma za Jamii wakiangalia namna maji yanavyotolewa chini
kwa ajili ya kuweka nguzo za Daraja la Kigamboni.
Waheshimiwa wakijadiliana wakati wa ziara hiyo.
Mkurugenzi Mkuu
wa Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau (wa
pili kulia mbele) akimuongoza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za
Jamii,Mh. Said Mtanda alieambatana na ujumbe wake wakati wakitembelea
miradi mitatu inayofadhiliwa na NSSF ambayo ni Mradi wa Daraja la
Kigamboni,Mradi wa nyumba wa Mtoni Kijichi na Mradi ujenzi wa kijiji cha
kisasa kiitwayo 'Dege Eco Village',iliopo Kigamboni jijini Dar es
Salaam.
Maendeleo ya Mradi wa Daraja la Kigamboni.
Ubao wa Maelezo ya Mrad wa Kijiji
Baadhi ya Nyumba za Mradi wa Kijichi.
Mh. Obama akiangalia Mandhali tulivu ya Kijichi.
Wadau wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ziara hiyo.
Majengo yanayoendelea kujengwa katika eneo la Mradi wa Kijichi.
Mkurugenzi Mkuu
wa Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
akielekeza jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii.
Mh. Maua Daftari
Mh. Sugu.
Baadhi la Majengo ya Mradi wa Kisasa wa Dege eco Village yakiendele kujengwa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii,Mh. Said Mtanda akizungumza na wanahabari walioambatana nao kwenye ziara hiyo.
Picha ya pamoja
ya Wabunge Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii pamoja na Viongozi wa
Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF) mara baada ya kumalizika kwa
ziara.
Post a Comment