Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe. Dkt injinia Binilith
Satano Mahenge (kulia) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe. Abdulkarim Hassan Shaha (wapili kulia),Pamoja na Wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira wakikaguwa
Mazingira katika moja ya kiwanda cha Mifuko ya Plastiki (East African
Industy)kilichopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Mhe. Dkt injinia Binilith
Satano Mahenge (wa nne kulia),Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu
Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe.
James Lembeli Mb (wa tano ulia), pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Bunge
ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira wakikaguwa mifuko Inayozalishwa
na kiwanda cha BinFijaa kilichopo barabara ya Pugu jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Mhe. Dkt injinia Binilith
Satano Mahenge (kushoto),akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Kamati
ya Bunge ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe. James Lembeli (Mb),baada ya kuwasili kiwanda kinachozalisha mifuko ya plastiki cha Binfijaa kilichopo barabara ya Pugu jijini Dar es Salaam.
Post a Comment