Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo kwenye mkutano mkuu wa CCM jimbo la Mafinga Kaskazini.
Baadhi Wajumbe waliohudhuria mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Mafinga Kaskazini
Viongozi wa Dini wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CCM jimbo la Mufindi Kaskazini
Mwenyekiti wa Wazee Waasisi wa CCM wilaya
ya Mufindi Mzee Raphael Ngogo akisoma risala ya Wazee kwa Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Wajumbe wakiimba nyimbo za kumkaribisha Kinana.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana akisalimiana na viongozi wa Dini wilaya ya Mufindi ambao
walialikwa kwenye mkutano mkuu wa CCM Jimbo la Mufindi Kaskazini.
Mganga Mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya
Mufindi Dk.Boaz Mnenegwa akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana wakati alipotembelea wodi ya kina mama hospitalini
hapo.
Sehemu ya Wodi ya akina mama katika hospitali ya wilaya ya Mufindi.
Meneja wa Shamba la SAO Hill Ndugu Salehe
Beleku akizungumza mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
alipotembelea ofisi ya SAO Hill Mufindi
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana akitazama mti uliopandwa mwezi wa kumi mwaka 1980 kwenye viwanja
vya SAO Hill na Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana akipanda mti wa kumbukumbu baada ya kutembelea ofisi za SAO Hill
wilayani Mufindi mkoa wa Iringa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana akiweka udongo baada ya kupanda mti wa kumbukumbu baada ya
kutembelea ofisi za SAO Hill wilayani Mufindi mkoa wa Iringa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipanda mti wa kumbukumbu nje ya ofisi ya SAO Hill wilaya ya Mafinga
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye akikusanya baadhi ya mabango kutoka kwa wananchi wa Mafinga
waliotaka ujumbe wao ufike kwa Katibu Mkuu wa CCM
Katibu Mkuu wa CCM akiangalia namna mbao
zinavyotayarishwa kwenye kiwanda cha mbao cha Emmanuel kinachomilikiwa
na Ndugu Charles Emmanuel Akyoo
Post a Comment