Wanawake
MUNGU awasaidie sana Mjue kujenga Mahusiano binafsi ya karibu na MUNGU
mwenyewe kuliko kutegemea sana kuombewa hovyo hovyo,Kisa tu Umeambiwa na
Rafiki yako kwamba yuko Apostle flani ana Upako sana.Ndio ni kweli mna
Matatizo mengi yamewasonga yakiwemo Ndoa zenu Watoto wenu
on Tuesday, October 7, 2014
Post a Comment