Huyu mrembo
alikuwa anarekodi video akitembea mitaani na kukalia watu asiowafahamu
kuona watafanya nini, katika mtindo maafuru wa utani Ulaya na USA,
unaoitwa “pranking.”
Huyo jamaa wa mwisho kwenye video sasa.. Kwanza
fulana yake ina maaandishi: “tundu lako liko wazi”(your gap is open.)
Angalia VIDEO HAPO CHINI alichomfanyia mrembo huyo alipomkalia.
Post a Comment