Msanii nyota wa filamu nchini Sherry Charles Magali enzi za uhai wake.
Msanii huyo, amefariki leo saa nne asubuhi baada ya kuugua kwa muda
mrefu. Kwa mujibu wa familia, taarifa zaidi za mazishi zitatolewa
baadae.
Katika ukurasa wake wa instagram, muigizaji na mchekeshaji maarufu anayefahamika kwa jina la Kitale ama Mkude Simba (@mkudesimbaoriginal), amepost picha ya muigizaji Shery Mwana aliyefariki masaa machache yaliyopita.
Kwa mujibu wa Kitale, muigizaji huyo mbaye jina lake halisi ni Sherry Charles Magali, aliwahi kushiriki na Kitale katika movie mbali mbali ikiwemo Kipotabo na Nyumba Nne.

Post a Comment