Mdogo
wa aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George Otieno
‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' enzi za uhai wake.
Mdogo
wa aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George Otieno
‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' amefariki dunia ghafla
katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, Dar mchana leo. Msiba upo Sinza
Vatican
Benii alikuwa muigizaji na muongozaji wa filamu mbalimbali nchini. Mipango ya mazishi ya kumpeleka kwao Kenya
Global
Publishers tunatoa pole kwa familia ya Benson Okumu Otieno, ndugu
jamaana marafiki, Bwana ametoa , Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Post a Comment