Mwanamuziki wa Taarabu Hapa Nchini na Mkurugenzi wa Mashauzi Classic Taarabu Isha Ramadhan Maarufu Kama Isha Mashauzi.
Alivamiwa na majambazi alipokuwa katika ziara yake ya kimuziki sehemu mmoja inaitwa ukunda Mombasa Nchini Kenya na kumuamuru alale chini na mmoja wao akimuonyeshea bastola huku mwingine akiwa na panga.
Na kumpora vitu vyote muhimu ikiwepo makeup pesa pete za dhahabu na kutoroka na mkoba wake,Isha amezungumza na ummylicious.blogspot na kusema hatasahau tukio hilo.

CREDITS:ummylicious BLOG
Post a Comment