Naibu
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeo (CHADEMA) - Zanzibar,Bw.
Salumu Mwalimu (kulia) akikabidhiwa vifaa vya ofisi kutoka kwa
mtangulizi wake,Bw. Hamad Yusuf (kushoto) wakati wa hafla ya
kumkaribisha iliyofanyika kwenye ofisi za chama hicho Daraja bovu
mjini,Zanzibar jana.Katikati ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na
Maendeo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa.
Naibu
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeo (CHADEMA) - Zanzibar,Bw.
Salumu Mwalimu akiongea kwenye mkutano wa ndani baada ya kuwasili kwenye
ofisi za chama hicho Daraja bovu mjini Zanzibar jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa akiongea na wanachama na viongozi wa Chadema jana
Naibu
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeo (CHADEMA) - Zanzibar,Bw.
Salumu Mwalimu akipokewa na viongozi wa chama hicho baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Zanzibar akifuatana na Katibu Mkuu wa chama
hicho, Dk.Wilbrod Slaa (kulia) na viongozi wengine wa chama hicho jana.
Sehemu
ya Wanachama na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeo (CHADEMA)
wakiwa kwenye mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salumu Mwalimu
baada ya kuwasili kwenye ofisi hiyo Darajabovu mjini Zanzibar jana.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa
akiteta jambo na Manaibu wake,Mh. John Mnyika - Bara (kushoto) na Salumu
Mwalimu - Zanzibar (kulia) kwenye mkutano na wanachama na viongozi wa
chama hicho jana.
Wanachama
na wapenzi wa Chadema wakimsikiliza Dk.Slaa alipozungumza nao kwenye
ofisi za chama hicho huko Darajabovu mjini Zanzibar jana.
Post a Comment