Polisi
wakiwasili eneo la tukio ofisi za Faraja Trust Fund zinazomilikiwa na
Mh Lucy Nkya ambapo tukio hilo lilitokea leo asubuhi.
Jonas Nkya Mtoto wa kwanza wa Mh Dr Lucy Nkya
Jonas akihojiwa na waandishi wa habari kuhusiana na tukuo hilo. Muda mfupi uliopita
Mhe Dr Lucy Nkya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki
Mhe Dr Lucy Nkya akizungumza na Waandishi wa habari muda mfupi uliopita ofisini kwake Faraja muda mfupi uliopita.
Mtoto wa Naibu Waziri wa Afya wa zamani Jonas Nkya
Jonas Nkya mtoto wa Naibu Waziri wa zamani
wa Afya na Mbunge wa Morogoro kusini masgariki Lucy Nkya amewaambia
waandishi wa habari kwamba habari zilizozagaa kwenye mitandao ya kijami
kwamba amerushiana risasi za moto na mama yake mzazi ofisini kwao leo
mkoani Morogoro.
Jonas Nkya amesema kilichotokea alipokwenda
ofisini hapo kuchukua gari alielekee shamba bastola ilidondoka chini na
ikajifyatua risasi moja na kuzua taharuki kwa watu. Kwanza mimi sina
ugomvi wowote na mama yangu mimi nilikua shamba narudi nashangaa
nimezungukwa na waandishi wa habari wakitaka kujua ukweli wa habari
hizi.
Mimi nashanga habari zilizozagaa kwenye mitandao zimetokea wapi.
Post a Comment