Stori: Mayasa Mariwata
Imekaa poa sana! Ubuyu kutoka Hong Kong, China unadai kwamba mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda hivi karibuni alimfuata Jacqueline
Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani aliyefungwa nchini humo kwa msala wa kukamatwa na madawa ya kulevya. Habari
kutoka kwa mtu wa karibu wa Kadinda ambaye ni meneja wa Wema Isaac
Sepetu zilidai kwamba katika safari yake nchini humo, alifuatana na Wema
na Petit Man.Imekaa poa sana! Ubuyu kutoka Hong Kong, China unadai kwamba mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda hivi karibuni alimfuata Jacqueline
on Monday, October 20, 2014
Post a Comment