Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gladness Munuo (katikati)
akionesha ripoti ya utafiti juu ya matumizi ya pombe na inavyochangia
unyanyasaji wa kijinsia kwa Wilaya ya Kinondoni. Kulia ni Mwakilishi wa
Shirika la IOGT ambalo ndio wawezeshaji wa utafiti huo. Wa kwanza kulia
ni Mwakilishi wa Shirika la IOGT. Ripoti hiyo imezinduliwa leo jijini
Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Shirika la IOGT nchini Tanzania (kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari kabla ya uzinduzi wa ripoti ya matumizi ya pombe na
athari katika vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia.
Kiongozi Mkuu wa Utafiti juu ya matumizi ya pombe uliofanyika Wilaya ya
Kinondoni, Dk. Severine Kessy (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi
wa habari namna utafiti ulivyoendeshwa. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gladness Munuo. Utafiti huo uliendeshwa na Chama
cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Shirika la IOGT.
Kiongozi
Mkuu wa Utafiti juu ya matumizi ya pombe uliofanyika Wilaya ya
Kinondoni, Dk. Severine Kessy akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari
namna utafiti ulivyoendeshwa. Utafiti huo uliendeshwa na Chama cha
Wanahabari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Shirika la IOGT.
Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti
hiyo wakifuatilia matukio na ufafanuzi juu ya ripoti hiyo.
Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti
hiyo wakifuatilia matukio na ufafanuzi juu ya ripoti hiyo.
Post a Comment