Hatua ya Mwanamuziki Hussein Machozi
kuamia nchini Kenya na kufanya muziki wake huko kimempatia Hadi mke ndoa
ina mwaka sasa na ilikuwa ni siri...Kaoa mke Kutoka Mombasa karibu na
Tanga Mapenzi yalipozaliwa.
Hussein Machozi Kupitia Ukurasa wake wa facebook amefunguka haya:
"Ukiwa umefunga ndoa ya haki usiifiche. Mungu atazidi kukufungulia mengi.
NDIO ILIKUA NDOA YA HUSSEIN MACHOZI NA SHU YUNUS OMAR. MOMBASA KENYA. NI MWAKA SASAAA"
Post a Comment