Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Video 5 HATARI Toka Ndani ya Jumba la Big Brother Africa Ziko Hapa



Huu ni Mkusanyiko wa Episodes 5 za Matukio yote yanayotendeka ndani ya jumba la Big Brother Africa tangu lianze Jumapili ya tarehe 5.

Katika mkusanyiko huu wa Video, utafanikiwa kujionea tukio zima la uzinduzi, jinsi washiriki wanavyokabiliana na task mbalimbali wanazopewa pamoja na maisha yao binafsi wakiwa ndani ya vyumba vyao.

Kumbuka Jumba hili ni la kikubwa, hivyo una hiari ya kuangalia au kutoangalia. Video zimepewa jina la Daily Review ( Episode 1 to 4)

Unataka kuona Video? << BOFYA HAPA>>

Ingia hapo juu kushuhudia mambo yote yanayotendeka ndani ya jumba hilo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top