Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) Mwenyekiti wa Wilaya ya Mfenesini
Kichama Mjumbe Msuri wakiwa katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu
Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama nje ya Mji wa Unguja
katika mkutano maalum wa kuimarisha Chama kwa Mabalozi na Wenyeviti wa
Maskani,{Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi na
Wenyeviti wa Maskani katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere
Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama akiwa katika ziara zake za
kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM katika Wilaya ya Mfenesini, {Picha na
Ikulu.]
Post a Comment