Askari
wa zima moto wakiwa eneo la tukioa baada ya jengo moja kuporomoka mjini
Zanzibar jana asubuhi huko maeneo ya Shangani karibu na Kijiwe cha
'Jaws Corner', Jengo hilo lililokuwa wazi bila kukaliwa na watu kwa
kipindi kirefu cha takriban miaka 10, halikusababisha kifo wala majeruhi
katika ajali hiyo, na chanzo cha kuanguka kwake bado hakijaweza
kujulikana kwa haraka.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
-
Kwa Undani15 hours ago
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo9 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-


Post a Comment