Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akihutubia Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana
na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption)
ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika
Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.

Sehemu
ya wadau wa Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na
Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against
Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe
07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.

Kutoka
kushoto ni Mbunge wa Sengerema William Ngeleja, Meya wa Manispaa ya
Ilemela Henry Matata, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga na
Mkuu wa wilaya ya Ilemela Amina Masenza wakisikiliza kwa umakini
yanayojiri ndani ya Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na
Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against
Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe
07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza

Sehemu
ya wadau toka nchi mbalimbali barani Afrika wameshiriki Mkutano wa 12
wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za
SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza leo
ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya
Malaika jijini Mwanza.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimpongeza Angel Magati ambaye aliimba wimbo maalum wa Kuzuia na
Kupambana na Rushwa.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta
jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Utawala Bora Kapt.George
Mkuchika katika Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na
Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against
Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe
07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.Picha na IKULU
Post a Comment