Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA ZA VURUGU ZILIZOHARIBU MDAHALO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA





Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa akitoa mada kwenye mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba kabla ya vurugu kutokea.

Baadhi ya vijana walioingia na mabango na kuvuruga mdahalo huo wakidhibitiwa.

Vurugu zikishika kasi ndani ya Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar.

Jaji Warioba akitolewa nje ya Ukumbi wa Ubungo Plaza mara baada ya vurugu kutokea.

Jaji Warioba akiwa nje ya ukumbi huo chini ya ulinzi mkali.



Baadhi ya vijana waliovuruga mdahalo huo wakiwa na mabango.

Jaji Warioba (wa pili kushoto waliokaa) akijadiliana jambo na wenzake.

Wanahabari wakiwa eneo hilo la tukio.(PICHA NA FACEBOOK)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright 2025 EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG | Designed By Code Nirvana
Back To Top