Mkali wao ndani ya Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila bata na mtoto mzuri, ‘Zari The Boss Lady’.

GOOD
time! Katika hali ya kushangaza, mkali wao ndani ya Bongo Fleva, Nasibu
Abdul ‘Diamond’, mama’ke (Sanura Kassim ‘Sandra’) na mama la mama,
Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamekutana pande za Sauz na kuponda
raha, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo.Chanzo makini kilicho karibu na
Diamond, kimeeleza kuwa msanii huyo na mama’ke, katikati ya wiki
iliyopita, walikwea ‘pipa’ kwenda nchini humo kwa ajili ya mapumziko
mafupi kabla ya kuhudhuria ‘event’ ya utoaji Tuzo za Channel O (Choamva)
ambazo msanii huyo ameshiriki.
Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Zari wkiwa kwenye picha ya pamoja na Kampani waliyokuwa nayo Sauzi.
Kwenye
tuzo hizo, Diamond ameingia katika vipengele vinne tofauti; Video Bora
ya Mwaka, Mwanamuziki Bora Chipukizi, Mwanamuziki Bora wa Afro Pop na
Mwanamuziki Bora wa Afrika Mashariki
Post a Comment