Kada wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Olivia Sanare akikabidhi zawadi kwa watoto wa kituo cha Kili Center ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. |
Kada wa CCM,Olivia Sanare akizungumza na watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Kili Center alipotembelea kituo hicho kutoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho. |
Watoto wa kituo cha Kili Center wakimuimba wimbo wa Birthday,kada wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Olivia Sanare aliyevaa kofia. |
Kada wa CCM ,Olivia akisakata Kwaito na watoto wa kituo cha Kili Center. |
Watoto wa kituo cha Kili Center wakitoa burudani ya Kuch kuch Hota Hae kwa wageni waliowatembelea kituoni hapo. |
Kada wa CCM ,Olivia akila chakula pamoja na watoto wa kituo cha Kili Center ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu yake ya siku ya kuzaliwa. |
Olivia akiwa amebeba watoto katika kituo cha Kili Center mara baada ya kuwatembelea na kuwapatia zawadi. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
Kanda ya kaskazini,
Post a Comment