Mwili wa baba mzazi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes ukiwa unaswaliwa nyumbani kwa
kaka wa marehemu maeneo ya Kawe jijini Dar leo mchana na baada ya
kumaliza kuswaliwa hapo umepelekwa msikitini na baada ya kutoka
msikitini utapelekwa kwenye makabiri ya Kisutu kwa ajili ya mazishi.
Mwili
wa Ebby Sykes ukipandishwa kwenye gari kwa ajili ya kwenda kuswaliwa
baada ya kuswaliwa nyumbani kwa kaka yaka eneo la Kawe jijini Dar
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes akiwa amepanda gari lililobeba
mwili wa baba yake mzazi ili kuelekea msikitini kwa ajili ya kuswaliwa
na kasha kupumzishwa kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar leo
Baadhi ya wasanii pamoja na ndugu na jamaa waliofika kwenye msiba wa marehemu Ebby Sykse
credit: Lukaza blog
Post a Comment