Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maabara katika Shule ya Sekondari ya
Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa
vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani. Wa kwanza
kulia ni Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi, akifuatiwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Mafunzo ya Ufundi, akifuatiwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea baadhi ya vitbu vya sayansi toka kwa
Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Vitabu hivyo ambavyo
vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa
msaada wa Watu wa Marekani.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini
Mhe Mark Childress, Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi,na viongozi wengine wakiangalia jinsi somo la sayansi
likifundishwa katika darasa la Kidatu cha pili Shule ya
Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani
nchini Mhe Mark Childress, Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi,na viongozi wengine wakisalimia wanafunzi katika
darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko
Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress,
wakiongea na mkandarasi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Mtakuja
huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu
vya sayansi vilivyotolewa na Watu wa Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Marekani
nchini Mhe Mark Childress wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam wakiwa na vitabu
vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi
jijini Dar e salaam wakiimba kwa furaha katika sherehe ya kukabidhiwa
vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Kikundi cha utamaduni cha jeshi la polisi kikitumbuiza katika sherehe
ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na Watu wa Marekani
Baadhi
ya maafisa wa ubalozi wa Marekani wakiwa katika katika sherehe ya
kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea baadhi ya vitbu vya sayansi toka kwa
Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Vitabu hivyo ambavyo
vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa
msaada wa Watu wa Marekani.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark
Childress akigawa vitabu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja
ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa
katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa
kwa msaada wa Watu wa Marekani.
kwa msaada wa Watu wa Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa Marekani nchini Mhe
Mark Childress katika picha na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam baada ya kuwagawia
vitbu vya sayansi. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule
zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa
Marekani.
Mwanafunzi
wa Kidatu cha pili D, Khairat Nassor, akitoa ushuhuda wa jinsi
wanafunzi walivyokuwa na nafuu baada ya kupatikana vitabu vya sayansi
katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam.
Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule zote za
serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
Mama
Salma Kikwete akiagana na walimu wenzake baada ya sherehe za kukabidhi
vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi
jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika
shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa
kwa msaada wa Watu wa Marekani.
kwa msaada wa Watu wa Marekani.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe
Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko
Kunduchi jijini Dar e salaam leo tayari kwa kukagua ujenzi wa maabara
na pia kupokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa
Marekani.
. PICHA NA IKULU
Post a Comment