Wakati
mwanamziki wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz akiendelea kupepesa macho na
kutikisa masikio kukanusha kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na
mwingizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu ukaribu wao bado unatia mashaka
na kuendeleza sintofahamu miongoni mwa mashabiki na wapambe wao.
Japo kuwa
Ommy alielezakuwa yeye na Wema ni marafiki toka kitambo kabla hata ya
wema kuwa na mahusiano na mwanamziki Diamond, lakini hii imezidiii.
Mbali na kuonekana wawili hawa kuwa pamoja sehemu mablimbali za starehe toka Ommy atoke Marekani, hili la kupikiwa na kupakuliwa nyumbani kwa
Post a Comment