Mrembo na mjasiliamali kutoka Uganda, Zari Hassan ameonekana kushangazwa na kitendo cha mwigizaji Wema Sepetu kukejeli ujauzizo alionao ambao amepewa na Diamond ambae alikuwa mpezi wa Wema.
Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli yanayosomeka ‘Mimba My Foot” kama yanavyosomeka kwenye picha hapo juu.
Kitendo hicho kikamfanya mwanamama Zari kuamua kujibu wa maneno “Astagafululah…..sometimes we have to wish people good ....this is too much”
Maneno ambayo yalionyesha ukomavu na busara ya hali ya juu alionayo mwanamama huyu kwenye maswala ya mahusiano na maisha.
Hivi jamani ukiacha na mpenzi wako hauwezi kumtakia mazuri kwenye maisha yake?
Mzee wa Ubuyu
Burhan awekewa vikwazo na Marekani
3 hours ago
Post a Comment