WHAT A
SHAME TANZANIA!!! Mtoto mwingine kakatwa mkono wa kulia siku ya jumamosi
tarehe 7 March kwenye kijiji cha Kiseta, Wilayani Sumbawanga vijijini
na hii imesambaa kwenye mitandao ya kimataifa na ilikua #trending
yahoo jana. Pamoja na juhudi zote zinazoendelea za kuwalinda hawa ndugu
zatu bado mtu anafanya unyama huu??? #StopKillingAlbino Tag your
friends and comment "Amen" Join The Movement
Loading...
Post a Comment