Wakali kutokea Tanzania, Fareed Kubanda aka Fid Q, Shaa pamoja na A.Y wakiwa bado wapo nchini Kenya wameingia studio na kundi la Sauti sol kurekodi single mpya.
Kupitia kwenye Instagram, Sauti Sol wamepost dakika chache zilizopita na kuandika; “Last night we were part of something phenomenon.It was great working with true artists lyrical geniuses. @aytanzania @shaa_tz @bienaimesol @fancy_fingers @iamchimano“– @sautisol
Sauti Sol ni wakali kutoka Kenya, moja ya hit zao zinazofanya vizuri kwa sasa ni wimbo wa Sura Yako.
Post a Comment