Mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu amenaswa live akifanya mapenzi ndani ya gari katika eneo la Kirumba jijini Mwanza.
Mwanamke huyo alinaswa majira ya saa tisa za usiku
katika eneo hilo maarufu kwa biashara haramu ya ngono lililopo jirani na
Villa Park ambapo mbali na tukio hilo, mwandishi pia alishuhudia wanawake
wengi wakiwa wamesimama na kujinadi kwa wanaume waliokuwa wakiwafuata na
kuzungumza nao kuhusu biashara hiyo.
Katika soko hilo la wauza miili, baadhi ya
waliokubaliana walionekana wakiondoka na kuelekea kusikojulikana huku wengine
wakisogea pembeni palipo na giza na kujifanya 'mbwa' kisha kumalizana kwa
staili ya wanyama hao.
Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja akiwa na
mwanaume, wao hawakutaka kujifanya 'mbwa' wala hawakutaka kusumbuana
kwenda gesti, badala yake waliamua kuingia ndani ya gari moja lililokuwa
limeegeshwa katika eneo linalojulikana kama Magereji, lililopo pembeni ya Uwanja
wa CCM Kirumba.
Hali hiyo ilimfanya mwandishi awasogelee na
kuwapiga picha ambapo katika purukushani hiyo, mwanaume alifanikiwa
kuchomoka pasi kupigwa picha huku akimwacha mwanamke huyo akiomba
asamehewe kwa kuwa ni mke wa mtu na ndugu zake wakijua itakuwa
balaa.
Post a Comment