Picha ya mpenzi wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinum,Zari aliyoipost kwenye Account yake ya Instagram akiwa kwenye bafu akioga imezua gumzo kwenye mitandao huku wengine wakisema kuwa hakupaswa kuweka picha ile na kwamba amejianika na haina maadil
Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki wakizungumzia picha hiyo:
faridahfakhi :Noo kinachotia kinyaa ni kwamba haikupaswa ajianike apo ili iweje istoshe kamera zinawastili watu
faridahfakhi :Noo kinachotia kinyaa ni kwamba haikupaswa ajianike apo ili iweje istoshe kamera zinawastili watu
santamolly1234: ajui
kulea bhana amewaacha watoto ug anakuja kula bhata na dogo still mnasema
anajua kulea labda kumlea mond hapo sawa....by de way nahis alivuka
stage coz kasoma sana so bata ndo anazianza so cwez mlaum sanaaaaaaa
muache ale maisha tuuuu.
faridahfakhi Sasa nashindwa kuelewa ivi we wewe ndo unajianika ivyo alafu ndo uwe mke labda wa fission show
ladymodal Simama tukuoneee....bad!
Post a Comment