mwanadada Elizabeth Michael – LULU amepata pigo jingine baada ya kufiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Seki (Pichani) aliyekuwa akiishi jijini Mwanza.
Bado hatujapata taarifa kamili juu ya sababu ya kifo chake ila tutaendelea kuwajulisha pindi zitakapotufikia.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.
Pole sana Lulu. Mungu akutie nguvu.
Post a Comment