Mwigizaji Wastara leo ameandika maneno zaidi ya 100 na kuambatanisha na picha kuthibitisha kuhusu ajali aliyoipata japo hajaandika kwa undani zaidi kuhusu ajali yenyewe.
Wastara baada ya kuweka hii picha haya ndio maelezo aliyoyatoa :
"DUA ZENU MUHIMU SANA KWA MBAO MNAONIPENDA NA MSIONIPENDA……hali hii imenichosha sana ya matukio ya ajali kila mara natamani kuwa na amani na maisha yangu couz mungu ana sababu kuniacha niendelee kupumua mpaka leo

"Ila kwa wanaochukia kuona napumua wanatamani nizikwe hata mzima ila mtambue nina watoto watatu wananitegemea kwa kila kitu sometime mnasema nasikitika sana ni kweli sababu mi sio nabii nikihesabu hii ni ajali ya ya 9 sasa tena ni mbaya sana za kufa kabsa ila labda nimo kwa wale wanaopta ajali kipindi hiki japo kwangu ni too much,, ni jana na leo napumua alhamdulilah duwa zenu niombeni jamani huyu jinamizi akae mbali nami daah too much"
Post a Comment