Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila anapewa award na taasisi ya HUMAN RIGHTS DEFENDERS kwa kazi ya escrow.
Mgeni rasmi ni balozi wa Jumuiya ya ulaya. Shughuli hiyo itafanyika asubuhi hii katika ukumbi wa Blue Pearl Ubungo Plaza.
Akihutubia huko Muhambwe Kigoma juzi David Kafulila alilaani wanasiasa wanaotaka kudandia hoja ya Escrow ili kujipatia umaarufu huku wakiwa hawana hadhi yoyote kuzungumzia hoja hiyo.
Kafulila pia aliwataka wananchi kuhakikisha wanachagua wagombea wote wanaotokana na UKAWA kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Shinda Mkwanja na Expanse Tournament
38 minutes ago
Post a Comment